About us
Namalowe Television ni televisheni maalum inayojikita katika kukuletea moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi mambo yote yahusuyo burudani, michezo na sanaa. Namalowe Television ni kituo pekee kinachokutanisha wasanii, na wanamichezo wa Tanzania na wenzao walipo nchi za Africa, Ulaya, Asia, na America.
Dhima yetu ni kuibua na kutumia vipaji, ujuzi, na utaalam wa vijana katika uzalishaji na usambazaji wa huduma za Burudani Michezo na Sanaa za kisasa zinazojali mahitaji ya watumiaji na ushindani wa soko.
Kuwa TELEVISHENI yenye ufanisi mkubwa inayolenga na kuendeshwa na vijana katika nyanja za Burudani, Michezo na Sanaa za kisasa.
9:00 PM 11:00 PM 2:00 AM 9:00 AM