Miss Namalowe

Warembo kutoka sehemu mbalimbali watashiriki shindano hili la kila mwezi linalotoa zawadi nzuri mbalimbali. Ni shindano la kistaarabu, heshima, na lenye kuheshimu utamaduni na nafasi ya msichana katika Jamii. Washiriki wataingizwa moja kwa moja kwenye shindano la mrembo mwenye mvuto wa picha (miss Namalowe photogenic) kwa mwezi. Kushiriki kwenye shindano la miss Namalowe Online BONYEZA HAPA.

 

 

This is our monthly beauty pageant aimed at promoting girls from marginalized areas of the country. The pageant is of its kind as it upholds respect to participants, values and mainstay African traditions. Short listed participants automatically qualify for miss Namalowe photogenic contest.