On Point

Kipindi cha kila wiki chenye majadiliano ya suala linalovuma kila wiki. Ni kipindi kinachotoa ruhusa kwa wataalam wa fani husika kutofautiana kwa hoja pasipo kuathiri udugu, heshima na upendo. Kwenye kipindi hiki watazamaji ndio waamuzi wa upande wanaodhani wanakubaliana nao. Jiunge nasi uwasikie wataalam wanasemaje juu ya suala la wiki hii.

 

Heated weekly debate on all controversial issues as they arise and let people judge and pick the side. The show is intended to get people watch and listen to trending controversies.