The Mirror

Kipindi cha vijana wenye ndoto na matarajio katika maisha kukutana ana kwa ana na watu maarufu waliokwisha timiza ndoto kama zao. Katika kipindi hiki vijana wanapata wasaa wa kuongea na kuuliza maswali juu ya malengo, ndoto, na matarajio yao katika maisha. Kupata maelezo ya namna ya kushiriki kipindi hiki BONYEZA HAPA.

Bi weekly show aims at bringing people of same interests to discuss and share their ambitions and dreams with successful individual (celebrity) in their respective areas. This mentorship program opens up opportunity for ambitious youth to take a step towards realizing their dreams.